Group Feed
-
-
-
Chui hunyatia windo lake kimyakimya na kisha humrukia, na kumnyonga koo lake kwa kumng’ata haraka. Chui kwa kawaida huficha mawindo yao kwenye vichaka vilivyoshona au huyachukua mpaka juu ya miti, na wana uwezo wa kubeba wanyama hata wenye uzito mara tatu ya uzito wao. Chui ndiye mnyama pekee miongoni mwa jamii ya paka anayeweza kubeba mawindo… Read more
-
A natural and clever way to hunt and devour prey.
- View 1 reply
-
-
-
- Load More