Group Feed
-
Majina ya baadhi ya miti
(Names of various trees)-
All starting with ‘m’ like the prefix for trees and for people in my language (mo-). Some of these may be borrowed words, like the poplar. Otherwise I’ll be damned if that is not a mosetlha tree. The sound is akin.
- View 4 replies
-
Miti wananikumbusha ya Wangari Maathai. Mshujaa ya Afrika haswa Kenya.
-
-
Chui ni mnyama mwindaji anayewinda kimyakimya sana. Chui ni miongoni mwa wanyama wanaowinda usiku, japo wameonekana mara kadhaa wakiwinda mchana, tena hasa wakati anga ikiwa si angavu sana.
Madoadoa ya chui wa Afrika Mashariki huwa ya mviringo na ya chui wa kusini mwa Afrika huwa ya mraba.(The leopard is a hunting animal that hunts… Read more
-
Vita vya panzi furaha ya kunguru
– when grasshoppers fight, the crow rejoices -
Vita vya panzi furaha ya kunguru
– when grasshoppers fight, the crow rejoices -
- Load More