Group Feed
-
Rafadha ni chombo chenye umbo la panka kinachozunguka na kusogeza mota ya umeme au ndege hewani na meli majini.
Rafadha ya umeme ni tofauti na rafadha ya mwendo (ndege na meli) kwa sababu inazungushwa kwa kawi ya mbinu ili kutengeneza kawi ya umeme ilhali rafadha ya mwendo huzungushwa kwa kawi ya umeme ili kutengeneza kawi ya mbinu.… Read more
-
Mikuki ya baadhi ya watu wa Kiafrika
(Spears of several Afrikan people)-
108,368 Abibisika (Black Gold) Points
Some of these, no pulling out. Gotta go through to the other side.
- View 1 reply
-
108,368 Abibisika (Black Gold) Points
If these are just for hunting, I shudder to think of red ones for war! Honestly, I’m sure there would be a lot of overlap in design.
- View 3 replies
-
-
Kuyeyuka – to melt
Kuganda – to freeze
Kuvukiza – to evaporate
Kukeneka – to distill
Kuyeyuka – to dissolve
Kunyevuka – to condense -
-
Angahewa ya dunia:
Mbali na kutuandalia hewa ya kupumua, blanketi inayotuzunguka ya gesi mbalimbali hutupa ulinzi. Tabaka la nje la angahewa, linaloitwa tabakastrato, lina oksijeni ya aina fulani inayoitwa ozoni, ambayo hufyonza asilimia 99 ya miale hatari ya urujuani. Kwa hiyo, tabaka la ozoni hulinda aina nyingi za viumbe dhidi ya… Read more - Load More