Group Feed
-
Adjoa Angela Denise Malele posted an update in the group
Proverbs as a guide to life: Kiswahili edition 4 years ago
“Wakati mtu ana mapambano atawaona marafiki zake wa kweli ni akina nani.”
Tafsiri: Mashida za maisha watakuonyesha marafiki zako wa kweli.“When a person is having struggles s/he will see who his/her real friends are.”
Translation: when life problems show up they will show you your true friends -
Adjoa Angela Denise Malele posted an update in the group
Proverbs as a guide to life: Kiswahili edition 4 years ago
“Bila watu wa pili ugomvi hauanzi.”
Tafsiri: inachukua mtu wapili kubishana lakini mtu mmoja tu kufanya amani
“Without two people a quarrel, disagreement, argument doesn’t start.”It takes two people to argue, but only one person to make peace(initiate peace).
-
-
-
- Load More