-
Ninataka kusoma Kiswahili. Kila mtu wako wapi. Tujifunza!
-
Mimi niko mwenzangu. Umewahi kudurusu ngeli za kiswahili?
-
Bado ninajifunza mwenzangu. Yes, ninakuwa na kudurusu kujifunza haswa kuongea na kuelewa watu wakati wanasema.
-
Basically, I have a long way to go.
-