-
Majina ya baadhi ya mboga.
(Names of various vegetables)
*the pumpkin is commonly referred to as “Malenge”-
Nilifikiria ‘pumpkin’ ni ‘mboga.’ Mboga inaitwa ‘mboga.’ Kwa hivyo, nashukuru kwa maneno mapya lakini najua wachache
kama tangawizi, viazi, nyanya, karoti, etc.-
Naona uko sawa kwa lugha. Nafurahia kujua umejifunza maneno mapya
-
-
Asante sana. Uendelee kuwachapisha.
-