-
Majira ni kipindi kirefu kiasi cha wakati. Mara nyingi, kipindi hiki huwa na hali fulani ya hewa.
– Masika: Majira ya mvua tele ya mfululizo.
– Kiangazi: Majira ya jua kali bila mvua.
– Vuli: Majira ya mvua ndogondogo ambazo hupatikana wakati wa pepo za kaskazi.
– Kipupwe: majira ya baridi
(A season is a fairly long period of time. Most of the time, this period has a particular kind of weather.
Long rains: A season of a lot of consistent rain
Dry season: A season of hot sun and no rain
Short rains: A season of little rains found during the period of northerly winds
Cold season: A season of low temperatures/cold)