-
Sheng ni ‘lugha ya mtaani’ haswa katika Nairobi. Iko ‘Kiswahili slang’ ? Siielewi lakini inavutia sana. Lazima tunajifunza Kiswahili kwanza alafu tunaweza kujifunza Sheng! Hapo sawa!
https://www.sheng.co.ke/kamusi/-
Sheng ni lugha ambayo inakua na kubadilika kila siku. Unaweza kupata maneno fulani katika mtaa mmoja na mengine tofauti mtaa mwingine. Ni lugha ambayo hata tunaoizungumza lazima tujifunze na kutengeneza maneno mapya kila siku. Ni lugha mzuri kwa mazungumzo fiche (coded communication/cipher) na ubunifu (creativity)
-
Umesema kwamba, “Sheng ina maneno mapya kila siku kutegemea mtaa?” Watu ninawajua hapo wanasema kitu sawa.
-
Ni kweli. Msamiati huongezewa kila siku. Ni muhimu kujifunza Kiswahili kwanza alafu baadaye sheng kwa sababu sheng inafuata mfumo wa kiswahili
-