• 10,006 Abibisika (Black Gold) Points

      Wingu vundevunde ni wingu la fuwele za barafu linalopatikana kwa kimo kikubwa. Mawingu vundevunde huonekana kama nyuzi nyeupe au kanda nyembamba angani.

      Mawingu hayo hutokea kwenye kimo cha mita 16,500 hadi 45,000. Yanaundwa wakati mvuke wa maji hupitia kimo cha mita 5,500 ambako baridi inaongezeka, hivyo mvuke unaganda na kuunda fuwele za barafu.
      Kwa kawaida kimo cha mawingu hayo ni mita 8,000–12,000 juu ya usawa wa bahari.

      [A cirrus cloud is a cloud of ice crystals found at great heights. Cirrus clouds look like white threads/wisps or thin ropes in the sky.

      These clouds occur at heights of 16,500 to 45,000 metres. They are formed when water vapour goes beyond the height of 5,500 metres where it is very cold, therefore the vapour freezes and forms ice crystals.
      Normally, the height of the clouds is 8,000—12,000 metres above sea level.]

      • 10,006 Abibisika (Black Gold) Points

        Kuna tetesi kuwa mawingu vundevunde yana uwezo wa kuzuia mnururisho wa ardhi kuhepa, hivyo kupandisha joto hadi kwa nyuzi kumi selsia. [There are theories that cirrus clouds have the ability to block terrestrial radiation, thereby increasing temperatures by upto ten degrees celsius]