• 10,006 Abibisika (Black Gold) Points

      Chui ni mnyama mwindaji anayewinda kimyakimya sana. Chui ni miongoni mwa wanyama wanaowinda usiku, japo wameonekana mara kadhaa wakiwinda mchana, tena hasa wakati anga ikiwa si angavu sana.
      Madoadoa ya chui wa Afrika Mashariki huwa ya mviringo na ya chui wa kusini mwa Afrika huwa ya mraba.

      (The leopard is a hunting animal that hunts very silently. The leopard is among animals that hunt at night, though they have been seen several times hunting at daytime, especially when the sky is not so bright.
      The spots on a leopard from East Afrika are usually circular and those on a leopard from Southern Afrika are usually squared.)