Group Feed
-
Wingu vundevunde ni wingu la fuwele za barafu linalopatikana kwa kimo kikubwa. Mawingu vundevunde huonekana kama nyuzi nyeupe au kanda nyembamba angani.
Mawingu hayo hutokea kwenye kimo cha mita 16,500 hadi 45,000. Yanaundwa wakati mvuke wa maji hupitia kimo cha mita 5,500 ambako baridi inaongezeka, hivyo mvuke unaganda na kuunda fuwele… Read more
-
Kuna tetesi kuwa mawingu vundevunde yana uwezo wa kuzuia mnururisho wa ardhi kuhepa, hivyo kupandisha joto hadi kwa nyuzi kumi selsia. [There are theories that cirrus clouds have the ability to block terrestrial radiation, thereby increasing temperatures by upto ten degrees celsius]
-
-
Mzunguko wa chakula bwawani: alga wa maji yasiyo chumvi—kiluwiluwi—kereng’ende—chura—nyoka wa majini—mwewe
[Typical food chain in a pond: fresh-water algae—larva—dragonfly—frog—watersnake—hawk]
-
Mbuyu unafanya vitu tofauti ukilinganisha na miti mingine. Miti mingi hushiriki mchavuko kwa kusaidiwa na nyuki na ndege ambao huchukua punje za chavua toka mti mmoja hadi mwingine ili miti irutubishwe na kutengeneza maua mengine, matunda au kokwa. Mibuyu husaidiwa kuchavuka na popo. Wakati wa mwanzo wa kiangazi, mti huu hutoa maua makubwa… Read more
-
Mbuyu (baobab)
-
Mbuyu ni mti wa ajabu sana. (The baobab is a very fascinating tree)
-
We call it mowana in Setswana.
- View 1 reply
-
Wow. Majestic
-
-
Neno Kikuyu linatokana na mfumo wa Kiswahili wa neno Gĩkũyũ. Gĩkũyũ humaanisha “Mkuyu mkubwa”. Kwa hivyo, Agĩkũyũ katika lugha ya Kikuyu inamaanisha “Watu wa Mkuyu mkubwa.” Matambiko yote kwa Mungu hufanyika chini ya mkuyu (Mũkũyũ) na kama ungekosa, mtini (Mũgumo) ungetumika. Mzeituni (Mũtamaiyũ) ni mti mtakatifu kwa… Read more
-
I wish I could see the leaves. Just this morning I was thinking of this huge tree we have in our yard. Some of it’s roots don’t reach the ground. I was wondering what is the name. When I used to read a gardening magazine I used to come across ‘gikuyu’ as a type of grass common for lawns. Is that a settlers’ invention?
- View 1 reply
-
- Load More