Group Feed
-
Katika sayansi ya Wakikuyu, Mlima Kenya uliundwa baada ya “Nyota” ijulikanayo kama Rīūki (kumaanisha – jiwe lililokuja kutoka angani) ilipoanguka ardhini. Kishindo hicho kilisababisha mlipuko uliofuatwa na mtetemeko na mawimbi yaliyosambaa. Shimo lililoundwa na rīūki lilitoa uji wa magma- gīcūrūcūrū, majivu ya volkano- umbī na vifusi vya kokoto… Read more
-
108,458 Abibisika (Black Gold) Points
Asante sana @Karuga
- View 1 reply
-
I think there is a Muriuki in Ngugi’s ‘Petals of blood’.
- View 1 reply
-
-
-
-
1. Ngeli (noun class)
2. Nomino (noun)
3. -pi (“who” for ngeli ya A-WA/”where” for ngeli ya PA-KU-MU/”which” for all the other ngeli)
4. -ngapi (how many)
5. The last column has a constructed sentence with nomino(noun)+pi+kitenzi(verb) -
“even, odd and prime numbers”
- Load More