-
Hello Everyone,
I am beginning to learn swahili and hope to become fluent. If anyone knows any resources that are helpful I would love to know about them. And also if anyone is open to practicing with me be sure to messsage me. Thanks!
21 Comments-
162,983
Abibisika (Black Gold) Points
@kevlew, Aprili is trying to come back to teach Kiswahili
-
Hujambo dada Nichelle’ Ninatumaini kwamba tunaweza kujifunza pamoja 👦🏽
-
Asante Karuga, 👦🏽 Unatoka sehemu gani nchini?
-
Mimi, ninatoka jimbo la Indiana karibu na mji wa Chicago
-
162,983
Abibisika (Black Gold) Points
This is amazing! Let’sdo it!
-
Sehemu moja Ive been studying Kiswahili for several years for personal and educational/cultural reasons. Although I’m not quite fluent I can write Swahili and read some.
-
I can understand and respond
Bado, ninakuwa na njia ndefu kuenda! -
Kunisaidia kujifunza Kiswahili naangalia vipindi vya TV wanatoka Kenya. Na pia ninasikiliza muziki ya Kenya ama ‘Afrika Mashiriki.’ Lakini, ninaiandika bora zaidi kuliko ninasema.
-
@Karuga napenda kuangalia ‘Citizen News’ na vipindi vyingine vya Kenya juu ya YouTube kama ‘Bedsitter Chronicles,’ lakini ni gumu kwa mimi kuelewa.
-
@Karuga Kama nilisema iko challenge kuongea lakini najifunza ‘pole pole.’ Na pia, Napenda muziki ya ‘wasanii wa ndani’ kama ‘Sauti Sol’ na wengine. Asante kwa kujibu.
-
@Karuga nashangaa kupata ‘wewe ni mkenya’ juu ya Abibitumi. Mara nyingine wakenya wao si ‘pro black.’ Wengine wako hapa? Maoni yako ni nini? Asante sana kakangu.
-
Sioni ‘comment yako’ hapa lakini nijaribu kujibu…
Nilisikia ya ‘sheng’ ni ‘lugha ya mtaani’ ama ‘slang.’ Unasema sheng? Anyway, ikiwa umenisikia kusema Kiswahili ungekucheka. Ninasema pole pole, ninataka kusema haraka haraka kama wewe. Haha. -
@Karuga sioni comment yako hapa lakini nijibu…
1. Ninajua katika Kenya muziki ya reggae ni popular sana. -
2. Uhusiano kati wakenya na wajamaica ni pongeza(ni sahihi kusema ‘pongeza’?).
-
Labda siku moja waafrika kutoka ‘Marekani’ ma wakenya tutaconnect zaidi pia.
-
4.Serikali ya Marekani hawatutaki kuconnect though.
-
Ninamini siku moja wakenya zaidi watatambua “kuwa weusi” ni nzuri sana na watakuwa kiburi.
-
Wanataka kuwalinda wazungu kwa gharama zote!😂
-
Maoni yangu ni wanafikiria kupenda kuwa mweusi ni kuchukia wazungu.
-
Ninafikiria unasema ‘Waafrika'(kama wakenya)ikiwa wabadilisha mawazo yao alafu wataelewa ‘wao ni nani.’
-
Doulingo….is app im using for kiswahili
-