-
Kila mtu mko vipi? Mimi, niko poa. Nawe?
2 Comments-
170,288
Abibisika (Black Gold) Points
Mimi pia, niko poa. Nimejifunza Kiswahili kidogo tu.
-
Na mimi pia nasema kiswahili kidogo lakini nataka kujifunza kusafari, kufundisha wanafunzi wadogo na kwa familia yangu. Asante kwa ‘kureply’ Daktari Kambon.
-

