-
Hello Everyone,
I am beginning to learn swahili and hope to become fluent. If anyone knows any resources that are helpful I would love to know about them. And also if anyone is open to practicing with me be sure to messsage me. Thanks!
-
78,058 Abibisika (Black Gold) Points
@kevlew, Aprili is trying to come back to teach Kiswahili
-
Hujambo dada Nichelle’ Ninatumaini kwamba tunaweza kujifunza pamoja 👦🏽
-
hi. I’m from Kenya and fluent in Kiswahili. If you have any questions you can reach me anytime
-
Asante Karuga, 👦🏽 Unatoka sehemu gani nchini?
-
Natoka eneo la Ngong. Lipo katika kaunti ya Kajiado
-
Na wewe je? Unatoka sehemu gani duniani?
-
Mimi, ninatoka jimbo la Indiana karibu na mji wa Chicago
-
-
-
-
@kevlew yes. Is there some requirement or protocal or how do I get to start moderating?
-
@kevlew That is great and thanks. I will do my best to contribute useful content although I might have challenges with video meetings for the time being since I only get to buy a few data bundles per day. Nevertheless I will use other methods to engage fellow group members
-
78,058 Abibisika (Black Gold) Points
This is amazing! Let’sdo it!
-
-
Sehemu moja Ive been studying Kiswahili for several years for personal and educational/cultural reasons. Although I’m not quite fluent I can write Swahili and read some.
-
I can understand and respond
Bado, ninakuwa na njia ndefu kuenda! -
Kunisaidia kujifunza Kiswahili naangalia vipindi vya TV wanatoka Kenya. Na pia ninasikiliza muziki ya Kenya ama ‘Afrika Mashiriki.’ Lakini, ninaiandika bora zaidi kuliko ninasema.
-
Hapo sawa dada Gathoni. Unaweza nitajia baadhi ya vipindi na mziki unayopenda?
-
-
@Karuga napenda kuangalia ‘Citizen News’ na vipindi vyingine vya Kenya juu ya YouTube kama ‘Bedsitter Chronicles,’ lakini ni gumu kwa mimi kuelewa.
-
@Karuga Kama nilisema iko challenge kuongea lakini najifunza ‘pole pole.’ Na pia, Napenda muziki ya ‘wasanii wa ndani’ kama ‘Sauti Sol’ na wengine. Asante kwa kujibu.
-
@Karuga nashangaa kupata ‘wewe ni mkenya’ juu ya Abibitumi. Mara nyingine wakenya wao si ‘pro black.’ Wengine wako hapa? Maoni yako ni nini? Asante sana kakangu.
-
Sioni ‘comment yako’ hapa lakini nijaribu kujibu…
Nilisikia ya ‘sheng’ ni ‘lugha ya mtaani’ ama ‘slang.’ Unasema sheng? Anyway, ikiwa umenisikia kusema Kiswahili ungekucheka. Ninasema pole pole, ninataka kusema haraka haraka kama wewe. Haha.-
– hata mimi nashangaa, hizo hoja (comment) mbili sizioni. – Haha nakuelewa, itahitaji mazoezi. Kama kuna mtu hapo karibu ambaye anajifunza, ni vizuri kuzungumza na yeye Kiswahili, utajifunza haraka. – Ndio, mimi huongea sheng kila siku. Sheng huongeza ladha ya Kiswahili cha Kenya. Hatuioni kama “slang”, ni sehemu ya Kiswahili chetu. Sheng inaongeza misamiati (vocabulary) na mfumo (style) ya jinsi Wakenya huongea Kiswahili
-
-
@Karuga sioni comment yako hapa lakini nijibu…
1. Ninajua katika Kenya muziki ya reggae ni popular sana. -
2. Uhusiano kati wakenya na wajamaica ni pongeza(ni sahihi kusema ‘pongeza’?).
-
Labda siku moja waafrika kutoka ‘Marekani’ ma wakenya tutaconnect zaidi pia.
-
4.Serikali ya Marekani hawatutaki kuconnect though.
-
Ninamini siku moja wakenya zaidi watatambua “kuwa weusi” ni nzuri sana na watakuwa kiburi.
-
Wanataka kuwalinda wazungu kwa gharama zote!😂
-
Maoni yangu ni wanafikiria kupenda kuwa mweusi ni kuchukia wazungu.
-
Kweli kabisa. Hio inachangiwa na zile “false dichotomies” za fikra ya elimu ya ulaya. Waafrika wengi watakapoelewa kujipenda ni kulinda masilahi (interests) yetu, tutasonga mbali sana
-
-
Ninafikiria unasema ‘Waafrika'(kama wakenya)ikiwa wabadilisha mawazo yao alafu wataelewa ‘wao ni nani.’
-
Itakapowezekana, tutatengeneza ‘video sessions’ ili tuongee Kiswahili ana kwa ana
-
-
Doulingo….is app im using for kiswahili
-