-
habarileo.co.tz
Watoto wafundishwe kusoma vitabu - HabariLeo
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesema uandishi wa vitabu una mchango mkubwa katika kuhifadhi utamaduni wa taifa na kujenga uzalendo kwa watoto kupitia vitabu vinavyoakisi maadili na mila za Kitanzania. WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, … Continue reading


