Adjoa Malaika Gathoni
-
-
Kila mtu mko vipi? Mimi, niko poa. Nawe?
-
170,288
Abibisika (Black Gold) Points
Mimi pia, niko poa. Nimejifunza Kiswahili kidogo tu.
-
Na mimi pia nasema kiswahili kidogo lakini nataka kujifunza kusafari, kufundisha wanafunzi wadogo na kwa familia yangu. Asante kwa ‘kureply’ Daktari Kambon.
-
-
Ni muujiza! Sasa nayaweza kupost! Lakini Napost vipi picha yangu? Nahitaji kusaidia tafhadhali. Asanteni.
-
Tunahitaji kufundisha watoto yetu lugha ya mwafrika. Na pia kupenda kuwa mwafrika. ‘Self hatred’ huanza mapema sana.
-
Nitajaribu kuaandika tu Kiswahili hapa. Nataka kusema lugha mwafrika. Asanteni kwa kunipokea.
- Load More

